UZINDUZI WA BENKI YA WALIMU YAFANA DAR
| Watendaji wa benki hiyo mpya wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa benki hiyo , |
| Wageni rasmi waliohudhuria sherehe hizo za uzinduzi wa benki ya walimu, serikali imeahidi kuwapa ushirikianao wa hali ya juu ili kuinua uchumi wa walimu. |
| katibu mkuu wa Walimu akifafanua jambo katika uzinduzi huo, mapema hii leo, benki ya walimu ndiyo hiyo imeanzaa, kazi kwako mwalimu kukimbilia fursa, |
| Rais wa chama cha walimu , akifafanua jambo katika uzinduzi huo, Mmkoba aliwaomba walimu na watanzania kwa ujumla kujiunga na benki ya walimu kwani ni sehemu imara ya kuwainua watanazania wote. |
| Mwenyekiti wa benki hiyo Mpya akifafanua kitu. |
| Mmwandishi wa habari akiwajibika. |
| Mwigulu Nchemba akifafanua jinsi serikali ilivyojizatiti kuhakikisha benki ya walimu inasimama. |
| Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Bw. Majariwa akisoma hutoba kwa niaba ya waziri mkuu, |
No comments
Post a Comment