Zinazobamba

HOTNEWS-SINEMA YA URAIS WA LOWASSA,YAENDELEA WACHUNGAJI WAMVAMIA KWAKE SOMA HAPA KUJUA

Name:  ImageUploadedByJamiiForums1427101586.450986.jpg
Views: 0
Size:  83.8 KB
Viongozi wa dini ya kikristo wakiwasili mjini dodoma leo kumtaka Lowassa agombanie Urais


Name:  ImageUploadedByJamiiForums1427101603.403622.jpg
Views: 0
Size:  76.4 KB


VIONGOZI mbalimbali wa dini ya kikristo wakiwemo wachungaji wamemuibuki waziri mkuu aliyejiuzulu kwa ufisadi wa Richmond Edward Lowassa na kumtaka agombania urais kwenye uchaguzi hapo  baadae mwakani.
            Kwa mujubu wa chanzo chetu kilichopo Dodoma kinasema msululu huo wa watu mbalimbali ambao ni viongozi wa dini wamewasili mkoani hapo wakiwa na kauli moja ya kumtaka agombani nafasi ya Urais.
          Lowassa ambaye ni Mbunge wa jimbo la munduli ni miongoni mwa makada wa chama cha Mapinduzi CCM anayeutaka urais kwa udi na uvumba kwa sasa inaelezwa ni kama bahati kwa viongozi mbalimbali wa dini kumtaka agombanie urais.

          Mbali na viongozi hao wa kiroho wa dini ya kikristo kumuibukia tayari ya watu wanaojiita ni Masheikh mbalimbali kutoka bagamoyo wameshafunga safari na kwenda Dodoma na kumtaka agombanie urais,

No comments