Zinazobamba

KMC FC YAZIDI KUTAKATIKA UWANJANI SHUHUDIA WALICHOKIFANYA HUKO TANGA


MC FC yapata point moja baada ya kutoka sare bila kufungana katika mechi yake leo na Majimaji ya Songea.Mechi hiyo imechezwa leo hii katika uwanja wa Mkwakwani hapa Tanga ambapo timu zote mbili zimechuana vikali kuhakikisha hakuna wavu utakaotikiswa,katika mtanange huo KMC FC imeonyesha mchezo mzuri sana na kucheza kwa umahiri wa hali ya juu ambapo mara kadhaa goli la Majimaji lilikuwa likishambuliwa vikali lakini mpaka mwisho wa mchezo timu hizo zilishindwa kufungana.Kwa pointi hiyo inafanya timu hii kuwa na jumla ya pointi 17.KMC FC inatarajiwa kucheza tena tarehe 5 na timu ya Kimondo FC ya Mbozi katika uwanja huu wa Mkwakwani.Kila la kheri KMC FC kazeni buti.
Benchi la Ufundi la timu ya KCM likipewa MAWAIDHA 
FAIDI KWA PICHA
Timu ya Manispaa ya kiondoni wakisakata Kabumbu uwanjani



Hakuna maoni