Zinazobamba

TIMU YA KMC FC YA KINONDONI KUVAANA NA NDANDA UNITED BOFA HAPA KUTAZAMA


Timu ya mpira wa miguu jijini Dar es salaam ambayo
 inamilikiwa na halmashauri ya manispaa ya kinondoni ikiwa katika harakati za kujiandaa kuendelea kushiriki na mashindano ya ligi daraja la kwanza jijini Dar es salaam,ambapo kesho inatarajiwa kuingia Dimbani na Kuvaana na Timu Tishio kwa sasa timu ya Ndanda United kwenye Viwanja Chuo cha Bandari kilichopo Tandika Manispaa ya Temeke.
Akitibitishwa uwepo wa Mtanange huo Afisa Habari wa Manispaa ya Kinondoni aliwataka watanzania kujitokeza kwenye Wingi kwenye Viwanja hivyo kuja kushuhudia Burudani ya Aina yake.
Ambapo Mechi hiyo itaanza Majira ya 10 jioni katika Viwanja hivyo vya Tandika.

Faidi kwa Picha Timu ya KMC  ikijinioa katika kuelekea katika mechi hiyo












Hakuna maoni