Zinazobamba

RAIS KIKWETE HUU NI UNAFIKI AU NI KUWAFUNGA MDOMO WANANCHI?SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg
Pichani Rais Jakaya kikwete


Na karoli vinsent
     RAIS Jakaya Kikwete ulikuwa na Halima Mdee juzi wakati wa kufungua barabara ya Mwenge-Tegeta (New Bagamoyo Road). Uli chat naye kiutani, na kama mtoto wako, na alikueleza nia yake ya kuandamana, ulimwambia mwanangu karibu sana Ikulu nitakupokea na kukusikiliza. Leo hii umemtumia jeshi lako kumzuia, kumpiga na kumnyanyasa kana kwamba jana yake hukuongea naye, huu unafiki wa nini siafadhali ungemuambia nakusii Halima usiandamane angejua moja?

             Hivi J.K ni rais anayejali ustawi wa jamii yake? hivi ni rais anayejali usalama na amani ya wananchi wake? Tunafahamu fika the overt deal signed between CIA/USA and our president for NOT DOING SOMETHING. This is why he has been deadly quite for a number of irregularities, mishaps, constitutional breaking move etc.
pichani ni Halima mdee akipambana na jeshi la polisi

           We know the CIA Doctrine crafted for Tanzania and we know kiongozi x satanically agreed the nasty deal ever. Mind him and his allies kuwa sisi sio mazumbukuku wala sio wapumbavu. Tutafanya kila linalowezekana kuikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni weusi wenye greedy mind kwa manufaa ya mabwana zao na wao wenyewe.



         Rais hapaswi kukaa kimya kwenye matukio haya, aangalie wenzake wanaovyoongoza nchi, aangalie David Cameron yupo informed kwa every single issue, hata akigongwa mtu na gari wakati anaendesha baiskeli atajua na ataongea, mtoto akifa hosp kwa uzembe wa social workers atajau na ataongea, polisi wakisababisha mtu apoteze maisha sio kwa kumpiga risasi bali kwa kumshika kwa kutumia nguvu za ziada tu atajua na ataongea na wahusika kuwajibishwa, huu ndio utawala bora, huku ndio kuwajibika kama kiongozi. Aangalie Barack Obama anavyoongelea kwa kila kinachotokea Marekani kama ni issue inayo interfere usalama wa wamarekani, kama ni issue inayo interfere ustawi wa wamarekani ataongea. Shame to JK and his squad wanaoklaa kimya wakati mambo yanaharibika. Wakumbuke nchi zilizopoteza amani zilianza hivi hivi kwa kuminya uhuru wa wananchi ku express their feeling overtly.

           Hii demokrasia wanayo i preach ipo wapi? Hivi BAWACHA wakina mama masikini, wasiokuwa na uwezo hata wakukimbia, wasiokuwa na uwezo hata kwa kurusha ngumi, who can not forcibly resists, obstructs, or interferes with a law enforcement, who can not even spit saliva to the police leo hii wananyanyaswa kiasi hiki na kuzalilishwa kana kwamba ni majambazi na kana kwamba hawana haki ya kufanya wanachofanya.

           Hivi wakina mama hawa ni tishio kweli kwa usalama wa nchi na wakazi wa Dar kiasi kwamba nguvu kubwa kiasi hiki itumike kuwazuia kuandamana? kulikuwa na habari gani za kiintelijensia kiasi kwamba ikaonekana kuandamana kwao kunawea kuleta madhara? Hi style sasa iishe haiwezekani kila wapinzani wanapotaka kuandamana basi wanazuiwa kwa sababu sisizokuwepo.

TAFAKARI.0684064389

Hakuna maoni