Zinazobamba

NAFASI KIBAO ZA AJIRA SERIKALINI. {HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU}, ANGALIA INAYO KUFAA.

HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU

TANGAZO LA KAZI.

Mkurugenzi wa mtendaji wa halmashauri ya Meru anawatanzia wanchi wote wenye na nia ya kufanya katika halmashari ya wilaya ya meru nafasi mbali mbali za kazi kama ifuatavyo:
DEREVA DARAJA LA II NAFASI 9
a) SIFA
i. Awe na elimu ya kidato cha iv au vi

ii. Awe na leseni ya udereva daraja c
iii. Awe na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka 3 bila kusababisha ajali.
iv. Awe na cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II(trade test II)
v. Awe na umri usiozidi miaka 45.
vi. Mshahra: ngazi ya TGOS.A sawa na sh. 265,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

2. MSAIDIZI WA OFISI- NAFASI 4.
a). sifa
i. awe na elimu ya kidato cha IV
ii. awe amefauru vizuri katika masomo ya kingereza, Kiswahili na hisabati.
iii. awe na umri usiozidi miaka 45
vii. Mshahara : ngazi ya TGSOA.A sawa n ash. 655,000/= kwa mwenzi.

Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA DARAJA LA II- NAFASI 6.
A) sifa
i. awe na elimu ya kodato cha IV au VI
ii. awe na cheti za utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za afya, masjala, mahakama na ardhi.
iii. awe na umri usiozidi miaka.
b) Mshahara: ngazi ya TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

4. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III- NAFASI 15.
a) sifa
i. Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe na astashahada /cheti katika moja ya fani zifuatazo utawala, sharia na elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo kinacho tambuliwa na serikali.
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45.
c) Mshahara: ngazi ya TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.
Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

5. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA III
a) sifa
i. Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatujamii au vyuo vingine vinavyotambliwa.
iii. awe na umri usiozidi miaka 45.
B. MSHAHARA: Mshahara: ngazi ya TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.

Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

6. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III- NAFASI- 4
a) sifa
i) Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii) awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mitihani wa hatua ya tatu
iii. awe amefaulu somo la hatimkato ya kingereza na Kiswahili maneno 80 kwa dakika moja.
iv. Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa serikali na kupata cheti katika program za window, Microsoft office, e- mail na publishers.
v. Awe na umri usiozidi miaka 45.
b. )Mshahara: ngazi ya TGS.B sawa n ash. 345,000/= kwa mwezi.

Barua za maombi ziambatanishwe bna nakala za vyeti vya elimu, taaluma na chati cha kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma maombi tar 27.10.2014 saa 9:30 alasiri.
Maombi latumwe kwa anuani ifuatayo.
Mkurugezi mtendaji wilaya,
Halmashauri ya wilaya Meru,
S.L.P 3083
ARUSHA.
LIMETOLEWA NA
DANSTAN L. MALLYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.
CHANZO: MWANACHI LA TAR 13 OKTOBA 2014.
===========

7. FUNDI SANIFU MSAIDIZI –NAFASI 5.
a) sifa
i. Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
ii. awe na cheti za mafunzo ya mwaka mmoja katika moja ya fani za ufundi kutoka chuo mojawapo ya fani za ufundi.
iii. Awe na umri usiozidi miaka 45.
vi. mshahara: ngazi ya TGS.A sawa na sh. 295,000/= KWA MWEZI.

Hakuna maoni