Zinazobamba

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE

2 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, wakati alipofika ofosini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, na kufanya mazungumzo. Picha na OMR 1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo. Picha na OMR

FSHANGWE
Wiki iliyopita katika mitandao zilienea picha za Mbowe akiwa kwenye sherehe ya kifamilia, iliyofanyika Oktoba 12, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Kivukoni, Serena Hotel, Dar es Salaam,  huku zikimuonesha anambusu mkewe, Dk. Lillian Mbowe kwa hisia kali za malovee.Baada ya watu kutoa mitazamo mingi tofauti kuhusu picha hizo  Mbunge  Freeman Mbowe aibuka na kuzitolea ufafanuzi.

KAMANDA MBOWE AFAFANUA

Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alisema kuwa picha hizo zilipigwa siku ambayo kwa hakika alikuwa mwenye furaha sana kutokana na mambo mawili yaliyogusa familia yake.

“Kwanza mke wangu alikuwa anatimiza umri wa miaka 50 ya kuzaliwa, vilevile firstborn wetu Dudley alikuwa amemaliza shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu cha Sussex, Uingereza, kwa mambo hayo mawili, tuliona ipo haja ya kufanya sherehe, ukizingatia watoto wetu wengine wawili Nicole na Denis walikuwa wamerejea nchini kwa sababu nao wanasoma nje ya nchi.

“Siku hiyo ya tukio ilikuwa Jumapili, tulianza kwa kwenda kanisani Azania Front tukatoa sadaka, baada ya hapo tulikwenda Serena Hotel kwenye Ukumbi wa Kivukoni ambako chakula cha mchana kilikuwa kimeandaliwa, tukajumuika na ndugu wengine pamoja na marafiki.

“Haikuwa sherehe tu kusema labda nilikurupuka kumbusu mke wangu, ilikuwa sherehe ya kifamilia, kumpongeza mke wangu na mtoto wetu,” alisema Mbowe - See more at: http://kabwela.blogspot.com/2014/10/mhmbowe-afafanua-kuhusu-picha-zake-na.html#sthash.4CbBW9LF.dpuf

Hakuna maoni