Zinazobamba

MASIKINI WATOTO HAWA, MOTO WATETEKEZA BWENI ZIMA HUKO Tabora

 Ajali kubwa ya moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, imetokea nakuteketeza bweni la wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mtakatifu Petro iliyopo eneo la Iwanzari, Tabora pamoja na vitu vyote vilivyokuwemondani ya bweni hilo.

ITV wameripoti kuhusiana na tukio hilo, ambapo moto huo umezuka ghaflawakati wanafunzi wakiwa katika ibada na hata baada ya taarifa kuwafikiaaskari wa kikosi cha zimamoto hawakutoa ushirikiano wowote kwa madaikuwa magari ya kuzima moto ni mabovu kitendo kilichowasikitisha mkuu washule hiyo Simon Kyala pamoja na askofu wa kanisa hilo Mhashamu Elias Chakupewa.
 
Meya wa Tabora, Gulam Dewji na mratibu mwandamizi mkuu wa kikosi chazimamoto Tabora, Kondo Mwamed wamesema manispaa ina gari moja na likokatika matengenezo kwa takribani miezi 2.

Thamani ya vitu vilivyoteketea bado haijafahamika japo mkuu wa shuleamekiri kuwa wanafunzi hao wameathiriwa na janga hilo kipindi ambachowanakaribia kuanza mitihani

Wiki iliyopita katika mitandao zilienea picha za Mbowe akiwa kwenye sherehe ya kifamilia, iliyofanyika Oktoba 12, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Kivukoni, Serena Hotel, Dar es Salaam,  huku zikimuonesha anambusu mkewe, Dk. Lillian Mbowe kwa hisia kali za malovee.Baada ya watu kutoa mitazamo mingi tofauti kuhusu picha hizo  Mbunge  Freeman Mbowe aibuka na kuzitolea ufafanuzi.

KAMANDA MBOWE AFAFANUA

Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alisema kuwa picha hizo zilipigwa siku ambayo kwa hakika alikuwa mwenye furaha sana kutokana na mambo mawili yaliyogusa familia yake.

“Kwanza mke wangu alikuwa anatimiza umri wa miaka 50 ya kuzaliwa, vilevile firstborn wetu Dudley alikuwa amemaliza shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu cha Sussex, Uingereza, kwa mambo hayo mawili, tuliona ipo haja ya kufanya sherehe, ukizingatia watoto wetu wengine wawili Nicole na Denis walikuwa wamerejea nchini kwa sababu nao wanasoma nje ya nchi.

“Siku hiyo ya tukio ilikuwa Jumapili, tulianza kwa kwenda kanisani Azania Front tukatoa sadaka, baada ya hapo tulikwenda Serena Hotel kwenye Ukumbi wa Kivukoni ambako chakula cha mchana kilikuwa kimeandaliwa, tukajumuika na ndugu wengine pamoja na marafiki.

“Haikuwa sherehe tu kusema labda nilikurupuka kumbusu mke wangu, ilikuwa sherehe ya kifamilia, kumpongeza mke wangu na mtoto wetu,” alisema Mbowe.
- See more at: http://kabwela.blogspot.com/2014/10/mhmbowe-afafanua-kuhusu-picha-zake-na.html#sthash.4CbBW9LF.dpuf

- See more at: http://kabwela.blogspot.com/2014/10/mhmbowe-afafanua-kuhusu-picha-zake-na.html#sthash.4CbBW9LF.dpufHJXASGVXHSX

Hakuna maoni