SONGAS MBIONI KUFUNGA MITAMBO YA KUFUA UMEME, MRAMBA ASEMA NA WAJARIBU WAONE
SIKU chache Kupita Baada,Kampuni ya kufua umeme kwa njia ya
Gesi,Songas limited kutishia kuzima mitambo yake,kutokana na
ilichokiita.shirika la umeme Nchini(TANESCO) kushindwa kulipa deni
linaofikia Dola za Kimarekani 72.8 milioni(karibu sh 116.4 bilioni za
kitanzania).
Naye,Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umeme Nchini(TANESCO) Eng
Felchesmi J Mramba,ameibuka na kusema Songas wamevunja makubaliano kwa
kitendo chake ,cha kutumia vyombo vya Habari kudai deni hilo.
Maneno ya Mkurugenzi huyo ameyatoa Leo Jijini Dar Es Salaam
wakati alipokuwa anafanyiwa Mahojiano na Mwandishi wa Mtandao huu juu ya
Taarifa zilizoripotiwa na Gazeti moja linalotoka kila wiki juu ya Madai
ya Madai hayo,ambayo yatapelekea Nchi kuingia Gizani.
Mahusiano ya Songas na Tanesco ni ya kibiashara,na utaratibu
kudai deni uko wazi.sasa nashangaa kampuni ya Songas wanatumia vyombo vya habari kudai
fedha hizo,
Hivi na mimi pia wanataka nitumie Vyombo vya Habari kujibu hayo
madai wanayoyasema?mimi nawaomba Songas watumie utaratibu mzur
kupitia Gazeti la Mawio,kiukweli hajafanya busara
Inadaiwa kuwa Songas walitumia gazeti la mawio kutangaza deni lao huku wakitishia kuzima mitambo yao kama fedha yao hawatalipwa kwa wakati
Hakuna maoni
Chapisha Maoni