Zinazobamba

KAMA HUJIAMINI USIFUNGUE HAPA, MWANAMKE AZLILISHWA KWA KUCHOMWA MOTO HADI KUFA, KISA NI BOKO HARAM


Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana.
 
Mwanamke huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto. 
Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga  na hatimaye kumchoma moto hadi Kufa.

Hakuna maoni