HAPA NDIPO KAZI YA HABARI INAPOKUWA NGUMU, CHUKUA MUDA WAKO KUMCHEKI MAHABUSU HUYU ALIJITOSA KUDAI HAKI YAKE
Mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, wakiwa
wameng'ang'ania mlingoti wa Bendera ya Taifa huku mnoja akiwa mtupu
mara baada ya kutoroka toka kwenye msafara wa mahabusu waliokuwa
wakiingia mahakama ya wilaya ya Nyamagana na kisha mmoja wao kuvua nguo.
Inspector Veda (mwenye koti) akichukuwa maelezo ya Thobiasi Warioba
(35), aliyeamua kuvua nguo zote na kubaki mtupu akiwa ameng'ang'ania
mlingoti wa Bendera ya Taifa uliopo katika viwanja vya Mahakama ya
Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Nyamagana mkoa wa Mwanza, ambaye anakabiliwa
na kesi ya mauaji Na. 32/2012. akiwa na mwenzake Hamis Ramadani (30).
Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za
mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha
mahakama kwaajiri ya taratibu za kesi.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni