Zinazobamba

HAYA NDIYO MABORESHO MAKUBWA YANAYOWATESA WATOTO WA WATANGANYIKA PALE CHUO CHA USAFIRISHAJI, ADA YAKE SASA HAIKAMATIKI, YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 50.......... NISOME HAPA HAPA

BANGO LA MATANGAZO LA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI HAPA NCHINI( NIT) LIKIWA LINAONYESHA KOZI MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA KATIKA CHUO HICHO. HIVI SASA CHUO HICHO KIMEPANDISHA ADAYAKE MARA MBILI YAILE YA AWALI

CHUO HICHO PIA KINATARAJIWA KUTOA MAFUNZO YA URUBANI NA UPAROTI KATIKA SIKU ZA KARIBUNI, MPAKA SASA CHUO KIMEAMUA KUPANDISHA ADA KUTOKA  TSH:700000 KWA NGAZI ZA DIPLOMA HADI KUFIKIA TSH:1000000 KATIKA KAZI HIYOHIYO.

HAPA NIS SEHEMU YA MBELE YA JENGO LA USAFIRISHAJI KARIBU KABISA NA LIBRAY YA CHUO HICHO, WANAFUNZI WA CHUO HICHO WAMELALAMIKIA ONGEZEKO LA FEDHA HIYO WAKIDAI KUWA HAIJALENGA KUWASAIDIA MTOTO WA MKULIMA

JENGO LA UTAWALA NDANI YA CHUO HICHO, HAPA NDIPO SERA ZINAPOTENGENEZWA.


HII NI SEHEMU MAARUFU SANA KWAWALE WANAFUNIZI WA CHUO HICHI, PANAITWA MUEMBE MGOMO, HARAKATI ZOTE ZA KIUKOMBOZI KWA WANAFUNZI WA CHUO HICHO HUANZIA KATIKA ENEO HILI

JENGO LEFU LINALOONEKANAKWA MBALI NI KITUO CHA TAARIFA ZA USARIFIRISHAJI, PIAKATIKA JENGO HILO LITATUMIKA KAMA MADARASA, TOKEA KUAMBIWA JENGO HILO LITAANZA KUTUMIKA MAPEMA MWAKA JANA LAKINI MPAKA SASA BADO NI KITENDAWILI NA HAIJULIKANI LITAANA KUTUMIKA LINI, MIMI NA WEWE HATUJUI

Add caption

MMOJA WA WANAHARAKATI WA CHUO HICHO AKIFUNGUKA MBELE YA MWANDISHI WA HABARI HIZI KUHUSIANA NA ONGEZEKO LA ADA KATIKA CHUO HICHO, lAMECK AMESEMA NI UONEVU ULIOKITHILI KUPATISHA ADA  KILA MWAKA BILA KUJALI UWEPO WA MTOTO WA MKULIMA WANAOSOMA KATIKA CHUO HICHO

HAPA NDIPO MAENEO YA KUJIPUMZISHA WANAFUNZI WA CHUO HICHO, NI RE(CREATION AREAS)

MMOJA WA VIONGOZI WA WANAFUNZI KATIKA CHUO HICHO, MH. HUSSEIN AKITAFAKARI JAMBO MBELE YAMWANDISHI WA HABARI HIZI, HUSEINI AMEONYESHWA KURIDHISHWA NA UPANDAJI WA ADA HUKU AKIDAI MAISHA KILA LEO YANAPANDA . YEYE NI MAKAMU WA RAISI WA CHUO HICHO



HAPA NI SEHEMU YA KUKAGUA MAGARI, NIT IMEPEWA DHAMANA YA KUKAGUA MAGRAI KABLA YA KUANZA KUTUMIKA BARABARANI.

Hakuna maoni