11 WAFUKUZWA CHUO KWA KUFOJI VYETI, NI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI.... MAJINA YAO HAYAHAPA
CHUO cha taifa cha usafirishaji kimewatimua jumla ya wanafunzi 11 katika chuo hicho kufuati kugundulika kuhusika katika njia moja ama nyingine kughushi vyeti vyao walivyoombea kusoma katika chuo hicho,
Hatua hiyo imekuja baada ya balaza la mitihani Necta pamoja na mabalaza mengine yanayotoa vyeti kumaliza kazi yake ya kupitia vyeti vyote vilivyowakilishwa katika chuo hicho na kubaini vyeti vya wataja hpa chini kuwa ni batili
Fullhabali iliona matangazo mbalimbali yanayowahusu watu hao kuondoka chuoni hapo na kwamba hawaruhusiwi hata kuingia libray ya chuo hicho kufuatia kubandikwa majina yao katika libry zote za chuo hicho
Wahusika wenyewe wa sakata hilo ni hawahapa, na inasakiwa kuwa miongoni mwa watuhumiwa hawa wa kufoji vyeti tayari walshakuwa na mikopo toka loan board. wanafunzi wengi wamesikitishwa na hali hiyo waliita ni kinyume cha sheria na wengine kutaka wanafunzi hao kuchukuliwa hatua za kisheria zaidi ikibidi wapelekwe mahakamani wakajibu tuhuma zinazowakabili ili kuleta nidhamu kwa watu wengine wenye lengo la kupeleka vyeti vyeki
Hakuna maoni
Chapisha Maoni