TRL KIMENUKA , WAFANYAKAZI WAGOMA KUENDELEA NA KAZI MPAKA KIELEWEKE.....
MMOJA WA WAFANYAKAZI WA SHILIKA HILO AKICHANGIA MADA KATIKA MKUTANO HUO, MAPEMA HII LEO, MFANYAKAZI HUYO AMESEMA HATOKI MTU HAPO MPAKA KIELEWEKE NA MATATIZO YAO YA PESA YATATULIWE |
WAFANYAKAZI HAO AMBAO WAMEKUWA WAKIHITAJI MALIPO YAO KUONGEZWA KUTOKA 200000 HADI LAKI 400000 WAMESEMA HAWATATOKA KATIKA VIWANJWA HIVYO WALIVYOFANYIA MKUTANO HADI HAPO KATIBU MKUU WA WIZARA ATAKAPOTATUA TATIZO LAO,
INADAIWA KUWA WAZIRI MKUU ALISHAKAA NAO NA KUWAAHIDI MATATIZO YAO KUPATIWA SULUHU LAKINI MPAKA SASA, HAKUNA CHOCHOTE KIPYA KILICHOFANYIKA, HATUA AMBAO INATAFSIRIWA NA WAFANYAKAZI HAO KUWA NI UBABAISHAJI WA HALI YA JUUU
KATIKA HATUA NYINGINE WAFANYAKAZI HAO WAMEMTAKA MKURUGENZI WAO KUACHIA NGAZI ILI KUPISHA KUVU KAZI MPYA KUINGIA KULETA MABADILIKO KATIKA TAASISI HIYO YENYE MIGOGORO MINGI NA YA KILA SAAA
KINACHOONEKANA MKURUGENZI AMESHACHOKA HANA JIPYA CHA KUFANYA ILI KUTATUA TATIZO HILI HIVYO NI VYEMA BASI AKAPATIKANA MKURUGENZI MPYA ATAKAYELETAMABADILIKO KATIKA TAASISI HII YA UMMA.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni