HIVI NDIVYO LOWASA ALIVYONOGESHA TAMASHA LA MABODABODA, LINEX NAYE HAKUWA NYUMA, SOMA HAPA UJIONEEE
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za
kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam (hawapo
pichani) wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda lililofanyika leo kwenye
Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.Mh. Lowassa alikuwa ni
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo iliyofana sana.
Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza machache
kwenye Tamasha hilo kabla ya Kumkaribisha Mgeni Rasmi kwenye Tamasha
hilo,Mh. Edward Lowassa (kulia).Katikati ni Kamanda wa Polisi Kitengo
cha Usalama Barabarani Tanzania,DCP. Mohammed R. Mpinga.
Kamanda wa
Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Tanzania,DCP. Mohammed R. Mpinga
akizungumza akitoa hotuba yake mbele ya Vijana waliojiajiri kwa kazi ya
kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa
Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda
lililofanyika leo kwenye Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Waendesha Pikipiki Wilaya ya Ilala,Michael Roewe akisoma
Risala yao mbele ya Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa (hayupo pichani)
wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda lililofanyika leo kwenye Viwanja
vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
Risala ya Chama cha Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam,Kutoka kwa
Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Pikipiki Wilaya ya Ilala,Michael
Roewe.
Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikabidhi
Zawadi kwa Afisa wa Benki ya FNB kwa kutoa Mchambo mkubwa kwa Waendesha
Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam.
Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikabidhi
Zawadi kwa Afisa wa Mfuko wa PSPF kwa kutoa Mchambo mkubwa kwa Waendesha
Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam.
Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
Zawadi Kutoka kwa Mwenyekiti wa Muda wa Shirikisho la Waendesha Bodaboda
Mkoa wa Dar es Salaam,Said Magamba.
Salamu kwa waendesha Bodaboda.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya wanaounda kundi la KIBEGA,wakitoa Burudani mbele ya Waendesha Bodaboda hao.

Sehemu ya Waendesha Bodaboda hao wakifatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi.
Msanii Linex akifanya yake Viwanjani hapo mapema leo.
Mgeni Rasmi
katika Tamasha la Waendesha Bodaboda Mkowa wa Dar es Salaam,Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiondoka
viwanjani hapo huku Vijana Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam
wakimsindikiza kwa shangwe.
Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwaaga
Vijana wa Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati alipokuwa akiondoka
viwanjani hapo huku shangwe zikitawala viwanjani hapo.
Vijana wa Bodaboda wakilisukuma gari la Mh. Lowassa ikiwa ni sehemu ya Furaha waliokuwa nayo.
No comments
Post a Comment