Zinazobamba

UMEME SASA HAUSHIKIKI,WADAU WARIDHIA KUPANDISHWA KWAKE, CTI WASEMA KWANZA WALIPISHENI WAZANZIBARA NA MAJESHI YETU NDIPO MUWAZE KUPANDISHA HIZO BEI ZENU

MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UMEME BW. FELCHESMI MRAMBA AKIFAFANUA JAMBO, MRAMBA AMEWATAKA WADAU WA UMEME KUKUBALIANA NA OMBI LA KUONGEZA BEI YA UMEME ILI SHIRIKA LIWEZE KUTOA HUDUMA ZENYE UFANISI MKUBWA,, HATA HIVYO WADAU WALIRIDHIA OMBI HILO



SHILIKA LA UMEME LIMEPELEKA OMBI LA KUONGEZA BEI YA UMEME KUTOKA 197.81 HADI KUFIKIA 332.06 KWA UNIT ILI SHILIKA LIWEZE KUMUDU KUTUO HUDUMA ILIYO BORA KWA WATEJA WAKE NA KUONGEZA UFANISI WA UPATIKANAJI WA UMEME HAPA NCHINI,

AKIZUNGUMZIA SABABU ZA KUPANDISHA BEI ZA UMEME  MKURUGENZI WA SHILIKA HILO AMESEMA KUWA, LENGO NI KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA GHALAMA ZA UENDESHAJI

SHilika la umeme Tanzania TA NESCO mapema hii leo walipeleka pendekezo lao la kuomba bei za umeme kupanda kutokana na ghalama za uendeshaji wa shughuli za tanesco kuwa juu, katika maombi hayo shilika lilitaka wadau kulidhia bei ya shilingi 332.06 ili liweze kujiendehsa kwa ufanisi wa hali ya juu.

Akizungumza katika mkutano wa wadau wa umeme hapa nchini mkuruge nzi mtendaji wa shirika hilo la Tanesco Tanzania Bw. Felchesmi Mramba amesema shirika kwa sasa linajiendesha kwa hasara kubwa kufuatia kuuza unit zake kwa bei ya chini sana huku shilika likinunua unit hizo toka makampuni ya smbyion, Aggre ko kwa bei kubwa.

HALI HALISI YA KIBIASHARA NDANI YA SHIRIKA,
Bei ya wastani ya kuuzia umeme ni sent za kimarekani 11.5 kwa unit wakatibei ya wastani ya kununulia umeme toka Kwa EPPs na IPPs ni kama ifuatavyo,
IPTL bei ya unit moja ni senti za kimarekani 23.1 na kapacity chage ya shilingi USD2,655786
Agrreko unit mojaa ni senti 35.8na ca[acity chage ya USD 2,084998.43 KWA MWEZI  na symbion Dodoma bei ya umeme kwa unit ni sent za Ki marekani44.4, hali kama hiyo shirika ni lazima kuingia hasara aliongeza Bw. Mramba

Amese ma kuongeza bei ya umeme ni lazima kwa kulinusuru shilika hilo kuendelea kutoa huduma iliyobora kwa wateja wake,
Akizungumzai suala hilo mmoja wa wadau waliohudhulia katika Mkutano huo ambaye pia ni mjumbe katika wazee wa viwanda (CTI) Bw. Samueli Nyantae amesema kupatndisha kwa umeme huo itakuwa ni hatari kwa taifa kufuatia bei za bidhaa kuanza kupanda na hivyo kupandishwa kila kitu, hali hiyo itazidi kumuathiri wananchi na kwamba upandishwaji huo ni batili
CTI msimamo wetu ni tofauti kidogo, tunona ni vyema kwanza mkaangalia wapi lilipo tatizo kuliko kukimbilia kupandisha bei, lazima muangalia kwa makini suala hili kwa faida ya jamii kwa ujumla,

Kuna watu taifa hili wanatumia umeme wetu wa bure na wala hawshituki iweje leo hii mzigo huo bado anapelekewa mwananchi wa kawaida, Angalia kama wenzetu wa Zanzibari, Majeshi yetu yote na taasisi zingine za serikali bado zinadaiwa mamilioni ya shilingi lakini mnashindwa kuwashugulikia hivi kwani nyie mmekuwa miungu watu ambao mnalazimisha wananchi wawalipiea kiala kitu? Bw. Nyantare

Hakuna maoni