Zinazobamba

Sarah Kibonde amkabidhi Afisa habari wa kampuni ya uendelezaji wa Jotoardhi nyaraka za machapisho zinazozalishwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.


Mkuu wa Kitengo Serikalini Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Sarah Kibonde akimkabidhi Afisa Habari wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania, Bw. Boaz Mazigo nyaraka za machapisho mbalimbali yanayozalishwa na Ofisi hiyo wakati alipotembelea banda la ofisi hiyo leo Agosti, 2025 katika maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni.

No comments