MKUU WA WILAYA YA CHAMWINO JANETH MANYANYA ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MAONESHO YA 32 YA KITAIFA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, Janeth Mayanja akipata ufafanuzi kuhusu majukumu yanayotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutoka kwa Mkuu wa,Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Ofisi hiyo, Bi. Sarah Kibonde wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika maonesho ya 32 ya kitaifa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi leo Jumatatu Agosti 4, 2025 viwanja vya Nanenane Nzuguni.

No comments
Post a Comment