NLD YATANGAZA RATIBA YA UCHUKUAJI FOMU NA ZOEZI LA KUPATA WADHAMINI.
Katibu Mkuu NLD Doyo Hassan Doyo,(Picha na Mtandao)
Na Mwandishi Wetu.Dar es salaam.
Chama Cha National League For Democracy (NLD) kimetangaza ratiba ya uchukuaji wa fomu,pamoja na zoezi la kupata wadhamini katika Makao Makuu ya Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Julai 31,2025 Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Chama hicho Doyo Hassan Doyo,imebainisha kuwa zoezi hilo litaanza August,9,Mwaka huu.
No comments
Post a Comment