Zinazobamba

WAZIRI MASAUNI AKITETA JAMBO NA MKUU WA MKOA WA MWANZA SAID MTANDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo lililofanyika katika Uwanja wa Red Cross Bujora, Kisesa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Juni 21, 2025.

No comments