Zinazobamba

WAZIRI MASAUNI AKITETA JAMBO NA ASKOFU WA JIMBO KUU KATOLIKI MWANZA MHASHAMU NKWANDE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiteta jambo na Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo lililofanyika katika Uwanja wa Red Cross Bujora, Kisesa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Juni 21, 2025.

No comments