Wakili Msomi Gidioni Mandesi amechukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi( CCM)Wakili Mandesi amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 28,2025 na Katibu CCM Wailaya ya Ilala, Sylvester Yared.
No comments
Post a Comment