Zinazobamba

MSAMA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE KUMRITHI JERRY SLAA UKONGA.

Na Mwandishi Wetu.Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga katika uchaguzi Mkuu Oktoba Mwaka huu. 

Msama amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 29,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala,ambaye pia Mkurugenzi wa Uchaguzi Wilayani humo Sylvester Yaredi. 


No comments