Zinazobamba

FLORIAN KARUGABA ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIVULE

Mchumi na Mkurugenzi Wa Kamarlon Microfinance,Mwezeshaji Wa Wafugaji wa Kuku na Mwenezi Wa Tawi la CCM Kata ya Msongola Florian Karugaba amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Karugaba amechukua fomu mapema leo Juni 29,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Sylvester Yaredi.

No comments