Zinazobamba

ZEPHANIA OMBURA AJITOSA KUOMBA RIDHAA KUGOMBEA UBUNGE SEGEREA

Mjasiriamali Zephania Ombura leo Juni 29,2025 amefika katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Segerea.

Amekabidhiwa fomu hiyo Mapema leo hii na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi

No comments