AGUSTINO NGOWI ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA JIMBO LA KIVULE.
Mjasiliamali Agustino Fedilisi Ngowi amechukua Fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la kivule.
Amechukua fomu hiyo mapema leo Juni,29,2025 Ofisi ya Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yared.
Aidha Ngowi meahidi kuwa endapo chama Chake kitampa ridhaa hiyo atahakikisha anashirikiana na Wananchi wa kivule katika kutatua kero mbalimbali zinazowakabiki ikiwemo ubovu wa barabara na maendeleo mengine muhimu
.jpg)
No comments
Post a Comment