Zinazobamba

HAPPYNESS MALYA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI VITI MAALUMU.

Katibu wa Shina na mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania,( UWT) Kigezi chini Kata ya Buyuni, Happyness Malya amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti Maalumu  Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Amekabidhiwa fomu hiyo leo June 30,2025 na Katibu Umoja wa Wanawake UWT Wilaya ya Ilala Rosemary Mwakisalu Ofisini kwake Ilala

No comments