BALOZI DKT.CHANA AMKABIDHI ZAWADI MKE WA RAIS WA JAMHURI YA ZIMBWE DKT. AUXILLIA C. MNANGAGWA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Dkt. Auxillia C. Mnangagwa alipokuwa akiagana naye leo Aprili 24, 2025 baada ya kushiriki ufunguzi wa Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa Vyakula la Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika jana Aprili 23,2025 jijini humo.
No comments
Post a Comment