Zinazobamba

Tanzania yateua waziri wa ulinzi mwanamke

 



Kwa mara ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Stergomena Tax kuwa waziri wa ulinzi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Marehemu Elias John Kuandikwa


Dkt Tax anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa ulinzi katika taifa la Tanzania na hivyo kumfanya aandike historia mpya katika maisha yake.

https://www.mpekuzihuru.com/2021/09/rais-samia-apangua-baraza-la-mawaziri.html

Hakuna maoni