Zinazobamba

Mama yake Sheikh Farid wa uamsho afariki dunia




SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

 

 Assalaam Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuhu.

 

 TANZIA. Shura ya mamimamu Tazania inawatangazia kifo cha Mama Mzazi wa Amiri wa Jumuiya ya Mamimamu Zanzibar Sheikh Farid Hadi.

 

Kifo kimetokea leo tarehe 20/09/2021, saa 5 asbh. Mazishi yamepangwa kufanyika leo hii majira ya saa 10 alasiri huko Unguja Zanzibar

 

Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote wanao husika na msiba huu. Mwenyezi Mungu awape subra wafiwa wote na awape ujira kwa mtihani huu mkubwa.

 

Mwenyezi Mungu amsamehe marehemu madhambi yake, ampe Pepo ya firdaus. Aamin

 

Ibrahimu Z. Mkondo

Msemaji wa shura ya Maimamu

0713118812


Hakuna maoni