Zinazobamba

PROFESA LIPUMBA NA LOWASSA USO KWA USO,SOMA HAPO KUJUA


Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akutana na Mwenyekiti anayetambulika na Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini wa Chama cha Wananchi (CUF) wamekutana kwenye msiba wa aliyekuwa meya wa Jiji la dar es Salaam Kitwana Kondo,

 Profesaa lipumba alimfuata Lowassa mahala alikuwa ameketi na kusalimiana.
Msiba huo umefanyika leo Nyumbani kwa Marehemu huyo upanga jijini Dar es Salaam