Zinazobamba

HUZUNI TUPO--TIZAMA PICHA JINSI MSIBA WA DOGO MFAUME ULIVYOWALIZA WENGI,SOMA HAPO KUJUA


KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani kufariki dunia juzi Mei 17, 2017, mwili wa marehemu unatarajiwa kuzikwa leo .

Waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwao na marehemu Dogo Mfaume.

Dogo Mfaume alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya).