Zinazobamba

ZITTO KABWE AIBUA MADUDU NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI,SOMA HAPO KUJUA

 
"Mwaka 2016/17 Serikali imewalipa wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo TZS 110 bilioni Kwa kutofanya kazi yeyote ya kimaendeleo maana Serikali ilitoa 3% ya Bajeti ya Maendeleo. Tunalipa watu kukaa ofisini" Taarifa hiyo ni Kupitia Ukurasa wake wa Facebook