Zinazobamba

NAPE AMUIBUA LAZARO NYALANDU MAFICHONI,AIBUKA NA KUTANGAZA VITA BUNGENI,SOMA HAPO KUJUA


SIKU CHACHE KUPITA BAADA YA RAIS JOHN MAGUFULI KUMFUKUZA KAZI NAPE NNAUYE KUSHIKA NAFASI YA UWAZIRI WA HABARI,SANAA,TAMADUNI NA MICHEZO,SAKATA HILO LIMEZIDI WAIBUA WADAU MBALI MBALI WA MASUALA YA KISIASA NCHINI,AMBAPO SASA ALIYEKUWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII LAZORO NYALANDU AMEIBUKA NA KUSEMA ATALIFIKISGA SUALA HILO BUNGENI .

NYALANDU AMBAYEALIKUWA MSAKA URAIS KUPITIA CCM KWENYE UCHAGUZI WA MWAKA 2015,AMEYASEMA HAYO KUPITIA MTANDAO WAKE WA KIJAMII WA TWEETS,,

SOMA HAPO TWEETS YAKE,