Mchungaji Peter Msigwa Leo Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Ameweka azi jinsi alivyolipokea suala la Aliyekuwa WAZIRI wa Habari sanaa,Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye Kutumbuliwa na Rais Magufuli.
Kwa Magufuli bashite ni mhimu na ni bora kuliko Nape ndani ya chama na serikali! Hongera JPM!
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA HAYA BAADA YA NAPE KUFUKUZWA KAZI,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
19:27:00
Rating: 5