KAMANDA SIRRO AYASEMA HAYA KUHUSU WEMA SEPETU KUSHINDWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI,SOMA HAPO KUJUA

Wema Sepetu bado anaendelea kushikiliwa na polisi
jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za dawa za kulevya ambapo jana baadhi ya
watuhumiwa wenzake walifikishwa mahakamani na kuachiwa kwa dhamana.
Leo February 8, 2017 Kamanda wa Polisi wa Kanda
maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi lake bado
linamshikilia Wema na wenzake saba ambao walikamatwa na vielelezo na kuwa
jalada lao limepelekwa kwa wakili wa selikali alipitie ili aone ushahidi uliopo
pamoja na kupata majibu kutoka kwa mkemia mkuu wa selikali kubaini kama kweli
ni mtuamiji wa madawa ya kulevya.
Amesema upelelezi ukikamilika na wao watapelekwa
Mahakamani.