GWAJIMA AMVAA MAKONDA AMWANGUKIA MAGUFULI,AMTAKA AMFUKUZA KAZI MAKONDA,SOMA HAPO KUJUA

Jana ni siku ambayo Mchungaji wa kanisa la Ufufuo na
uzima Josephat Gwajima aliachiwa kutoka polisi alikokuwa ameshikiliwa kwa
Tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya nchini,Baada ya uchgunguzi kubaini
hausiki jana ameruhusiwa Kutoka polisi ambapo aliahidi kuwa leo angetoa neon
katika ibada yake kaniswani Ubungo,
Mwandhishi wa mtandao huu amepita meneo ya kanisani
na kufanikiwa kunasa baada ya maneno ya mchungaji huyo kuhusu sakata
hilo,Fwatilia baadhi ya sentensi zake hapa
1.
Kuanzia sasa Mapepo yote yakitolewa kwa watu yaelekezeni kwa aduoi wa kanisa
nchini.
2. Mkuu wa mkoa wa
Dar es salaam mh Paul Makonda hapambani na madawa ya kulevya bali anapambana na
majina ya watu ili kuyachafua bla sababu.
3. Namuomba Rais
wa Tanzania atende haki katika hili,kuna polisi wamesingiziwa wako ardhini
hawana pa kusemea.
4. Vita ya madawa
iendelee ila ibadili Aproaching yake lakini pia watu wa Yanga wasikubali
yanayomkumba mwenyekiti wao
5. Watu wa Ufufuo
na uzima pia msikubali yanayonikuta mimi
6. Makonda ni
kombora ambalo halijajua litatua popote
7. Anayemtukana
mjomba siku moja atakuja kumtukana Mama mzazi
8.Gwajima, atujawahi kuchokoza mtu bali, tumeanza kuchokozwa..
9.Msilaum utendaji wa ofisi ya rais na wala jeshi la polisi...
mi ni daktari kwa falsafa, na pia mwandishi wa vitabu. Mi sio kama wale....
10 Kumshitaki makonda mahakani ni kuishtaki serikali, mi nitakachofanya ni kumshitaki kwa aliyemteua..