Rais Shein atembelea maonesho ya Sabasaba
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiangalia baadhi ya
bidhaa zinazozalishwa na wajasiliamali wanawake wakati alipotembelea
banda la Wanawake na Maendeleo (WIPE) katika Viwanja vya Maonesho ya
Biashara mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mke wa Rais wa
awamu ya tatu Mama Anna Mkapa.

Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), akiangalia mafuta ya kula yanayotengenezwa na wajasiliamali , wakati alipotembelea banda la
Wanawake na Maendeleo (WIPE), Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya
Biashara vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiuliza swali kwa mjasiliamali
wakati alipotembelea banda la wanawake Wajasiliamali (WIPE), Viwanja
vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya Mwalimu Nyerere, Dar es
Salaam leo.
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kuhusiana na uzazi
wa mpango, wakati alipotembelea banda la Wanawake na Maendeleo (WIPE),
Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya Mwalimu Nyerere, Dar
es Salaam leo.
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi
wa VETA kanda ya Dar es Salaam Bw. Habibu Bukko wakati alipotembelea
banda la VETA katika Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam mapema hii leo.
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi
wa VETA kanda ya Dar es Salaam Bw. Habibu Bukko wakati alipotembelea
banda la VETA katika Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam mapema hii leo.

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Balozi Amina Salum Ali,wakati alipotembelea banda la Wanawake na Maendeleo (WIPE) katika Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam mapema hii leo.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni