PRIDE TANZANIA YAENDELEA KUTOA MIKOPO SABASABA


Moja ya bidha zinazotengenezwa na wajasiriamali wanaowezeshwa na PRIDE Tanzania.

Waziri
wa Viwanda na Biashara, Mhe Charles Mwijage (kushoto), akizungumza na
wajasiriamali wa PRIDE Tanzania wakati maonyesho ya biashara ya
kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam (kulia) alievaa
tisheti nyeupe ni Afisa Undeshaji Mwandamizi PRIDE Tanzania, Jumanne
Bundala.

Kushoto
Mwenyekiti wa Bodi ya PRIDE Tanzani, Profesa Wiliam lyakurwa, na kulia
Meneja Mkuu PRIDE, Shimimana Ntayabaliwe wakimsililiza mjasiriamali
mbunifu wa mavazi kutoka Zakwetu Afrika, Bi Asha Sendege wakati wa maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam

Mke
wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akitembelea banda la
PRIDE Tanzani kujionea wajisiriamali wa PRIDE wakati wa maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Mke
wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiangalia moja ya
bidha kwa matumizi ya nyumbani zinazotengenezwa na wajasiriamali wa
PRIDE.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiangalia batiki zinazotengenezwa na wajariamali.

Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiangana na wafanyaka wa PRIDE mara baada ya kutembelea banda hilo.

Meneja
wa wa PRIDE Tawi la Kibaha, Bi Shani Madege akiwaelezea wananchi
waliotembelea banda hilo kuhusiana huduma zinazotolewa na PRIDE.

Afisa Uendeshaji wa PRIDE Edward Ngw’andu akimuezea mmoja wa wananchi juu ya faida za mkopo kwa mashariti nafuu.

Hakuna maoni
Chapisha Maoni