Zinazobamba

WANAHARAKATI WASEMA UTEUZI WA MAGUFULI HAUJAAZINGATIA USAWA WA KIJINSIA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi akisoma tamko la mashirika 10 yanayotetea haki za Wanawake Tanzania kuhusiana na teuzi mbalimbali zinazofanywa na Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli. Katika tamko hilo Mashirika hayo wameonyesha kusikitishwa kwao kutokana na nafasi za wanawake kuendelea kushuka ukilinganisha na awamu ya nne. 

TAMKO LENYEWE HILI HAPA

Hakuna maoni