Zinazobamba

MASHINDANO YA HEART MARATHONI YAANZA RASMI,SOMA HAPA KUPATA TAARIFA KAMILI,SOMA HAPO KUJUA




Mratibu  wa Heart Marathon Dkt. Omary Chillo (katikati) akiongea na waandishi wa habari kuhusu  mashindano ya mbio maalum za kupambana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza zijulikanazo kama Heart Marathoni zinazotarajiwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu jijini Dar es salaam, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa  Kamati ya maandalizi ya Heart Marathon Dkt.  Chaka Halfani na  kulia kwake ni Kaimu Katibu Ch

ama cha Riadha Tanzania Bi.Ombeni Zavala.
 Mratibu  wa Heart Marathon Dkt. Omary Chillo (wa kwanza kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusu  mashindano ya mbio maalum za kupambana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza zijulikanazo kama Heart Marathoni zinazotarajiwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu jijini Dar es salaam, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa  Kamati ya maandalizi ya Heart Marathon Dkt.  Chaka Halfani na  Mratibu Msaidizi Heart Marathon Bi.Catherine ikangaa.



 Mwenyekiti wa  Kamati ya maandalizi ya Heart Marathon Dkt.  Chaka Halfani  akionyesha kwa waandishi wa habari  namba watakazopewa washiriki wa mbio maalum za kupambana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza zijulikanazo kama Heart Marathoni zinazotarajiwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu jijini Dar es salaam,kulia kwake ni.Mratibu  wa Heart Marathon Dkt. Omary Chillo na Kaimu Katibu Chama cha Riadha Tanzania Bi.Ombeni Zavala .

Mwenyekiti wa  Kamati ya maandalizi ya Heart Marathon Dkt.  Chaka Halfani  akionyesha kwa waandishi wa habari  fulana watakazovaa washiriki wa mbio maalum za kupambana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza zijulikanazo kama Heart Marathoni zinazotarajiwa kufanyika Aprili 26 mwaka huu jijini Dar es salaam,kulia kwake ni.Mratibu  wa Heart Marathon Dkt. Omary Chillo.(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo).


Hakuna maoni