Zinazobamba

AFYA YA SUMAYE YAITIKISA SERIKALI YA MAGUFULI,NAYE WAZIRI MKUU WAKE KASIM MAJALIWA AMFUATA HOSPITALI,SOMA HAPO KUJUA



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrUOpz0JphoWN4pJO4JJKQs8OPPn1XGjohBVA8UfTvPmZfpeQaIvRChUF0F8k1_KaQP-nb_kAybJwLy1drVyq74Mw_w4zIa1UE_NA0vD-7bcTbQ1pG2K5TPlbKYmo2ttvlJktlkNzdi5ZT/s1600/IMGS8874.JPG

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye  ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOBJAvxaelfS9neDHUlcARbLB49zJqetIC7vFE83U5IbZIV9tEBDHJkX9AaVGge8bDM9-fVOIOpuDceBhovt-cTXdzLAG3-oVDnXw9wmksVYo6ow2AnxvcGZf1ke10ev0_Aqw4KIpVznYg/s1600/IMGS8877.JPG
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye




AFYA ya Waziri mkuu mstaafu,Fredrick Sumaye ni kama imeitisa serikali ya Rais John Magufuli ndivyo naweza kusema mara baada ya Jana Rais magufuli kumjulia hali Sumaye ambaye ni mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema,alipolazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini dar e s Salaam,
Ambapo leo pia waziri mkuu,Kassim Majaliwa naye ameenda kumjulia hali Hospitalini hapo huku akiongoza na Mkewe ,Marry,
Akizungumza mara baada ya kutembelea,Sumaye ametoa pongezi kwa Waziri mkuu kwa kuonesha upendo na kumjulia hali afya yake.

Hakuna maoni