Zinazobamba

MWANDISHI WA FULLHABARI.BLOG,APATA NONDO,SOMA HAPO KUJUA

Pichani ni Karoli Vinsent


MWANDISHI na Mhariri wa mtandao huu yaani,Fullhabari.blogs,Karoli Vinsent pichani) amefakiwa kumaliza masomo yake ya uandishi wa Habari yaani (Bachelor Degree of arts in Journalism)
Vinsent ambaye amejipatia umaarufu kwenye mitandao kwa kutoa taarifa za uhakika,amejipatia shahada hiyo kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Uongozi wa Mtandao huu unamtakia kila la heri katika kazi yake
Pichani ni Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano
kwa Umma kutoka Chuo Kikuu huria cha Tanzania
wakifurahia baada ya kutunukiwa shahada
 


Hakuna maoni