Zinazobamba

TIZAMA VIDEO JINSI MAGUFULI ALIVYOVAMIA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA LEO,SOMA HAPO KUJUA

og

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa  wakiwa nje ya ofisi zao. 

Tazama  Video  hii  kuona  kilichotokea


Mpekuzi blo

Hakuna maoni