MAMBO 6 USIYOYAJUA KUHUSU DEO FILIKUNJOMBE ENZI ZA UHAI WAKE

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda
2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala
3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha
akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi
na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja
4. Alipotoka Polisi alijiunga na World
Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka
kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la
dar es salaam
5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.
6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo
Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then
akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza
harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.
No comments
Post a Comment