DUUUUU LOWASSA BASII TENA,ATIKISA TUNDUMA BALAA,MADUKA,BARABABARA PAMOJA NA MIPAKA ZAFUNGWAZA,SOMA HAPO KUJUA
MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na
maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono chini ya Mwavuli wa UKAWA Edward
Lowassa ni kama amehindikana ndivyo naweza kusema baada kuismiamisha maeneo ya
Tunduma mkoani mbeya.
Taarifa kutoka Tundunduma zinasema tangu asubuhi mji
mizma wa Tunduma zilikuwa zimama huku barabara zikifungwa huku vijana wakiwa
barabarani wakishangilia nyimbo wakisema “Rais Rais Rais wetu kaja,Rais wetu
kaja”
Huku Jeshi la Polisi Mkoni mbeya alikiwa limezidiwa
nguvu na Umati mkubwa wa watu, waliokuwa barabarani wakifunga barabara,
Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vya
NCCR-Mageuzi,Chama cha Wananch CUF pamoja na NLD aliwataka wakazi wa Tunduma
kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 25 Octoba na kumchagua kwa wingi ili aingia
madarakani apambane na Tatizo kubwa la Umasikini ambalo limekuwa kama laana kwa
watanzania,
Amesema anafahamu jinsi watanzania walivyokata Tamaa
ya Maisha kutokana na Umasikini ndio maana nafsi imemtuma.







1 comment
asante maripota wetu mnaoripoti toka tunduma ambapo mhehimiwa edward ngoyai lowassa,rais mtarajiwa wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania leo hii jumamosi tarehe 17 octoba 2015 yeye na timu yake walikua wakiwahutubia malaki kwa malaki ya wananchi mjini tunduma mkoani mbeya.umati huu wa kutisha tunaoushuhudia hapa naomba tuupe jina,tuuite UTITIRI.sasa hivi bado tuna siku saba tuu yaani wiki moja tuelekee kwenye vituo vyetu vya kupiga kura ili tuweze kumpatia mheshimiwa lowassa kura zetu ZOOOOOTE ZA NDIO.KWA MUELEKEO NA DALILI USHINDI WA MHESHIMIWA LOWASSA UTAKUA NI MKUBWA MNO MNO,YAANI UTAYASHANGAZA MATAIFA MENGI.mmi nimepanga hivi.ile jumamosi tarehe 24 mimi,mke wangu,watoto tulio nao waliojiandikisha kupiga kura ambao ni watatu,tutajipanga kuondoka nyumbani saa nne usiku kuelekea kituo chetu cha kupiga kura,kama kilometa moja hivi.chakula,maji juice na mashuka vitakuwa vimeandaliwa kwenye vikapo viwili vya kwenda navyo.huko tuna imani tutawakuta wenzetu wengi tuu.tutalala kwenye foleni zetu.asubuhi ya tarehe 25 ni kuwahi kupiga mswaki,kuchana nywele na kusimama kwenye mistari husika nina imani ifikapo saa 5 asubuhi tutakua tayari tumekwishapiga kura zetu.tuna hamasa kubwa, kwanza hata leo hii ninapoandika hii posting yangu nitalala saa 7 na kuamka saa 10 alfajiri.tunampeda mno lowassa.MAANA YA NENO LOWASSA KWETU SISI NI:MKOMBOZI WA WANANCHI MCHAPAKAZI ASIYECHOKA,ASIYE HILA,MPENDA WATU TEGEMEO LA WATANZANIA KWA TANZANIA YA MABADIRIKO TUNAYOITARAJIA MUDA SI MREFU.huyo ndiye baba lowassa,wa, wote,wote kabisa.
Post a Comment