TAARIFA MUHIMU KUHUSU FULLHABARI.BLOGS WASOMAJI WOTE INAWAHUSU
MKUREGENZI
na Mmiliki wa Mtandao makini kabisa nchini wa FULLHABARI.BLOGS anaomba Radhi
kwa wasomaj wake wote wa Mtandao huu kwamba kutokana na matatizo ya kiufundi
kwa sasa mtandao huu utakuwa unatatizo la kuchelewa kuwekwa Habari,
Juhudi
kubwa zinafanyika ili kuondoa tatizo hilo,
Vilevile
mbali na hilo mtandao huu umejipanga kabambe kujihakikisha kukuletea kwa haraka
matukio mbali mbali ya Uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika hapo baadae mwaka
huu kwenye ngazi zote ikiwemo Urais,Ubunge na Udiwani.
Basi
mtandao huu unakukarisha Mwanasiasa ambaye unataraja kugombania Nafasi hizo
kutaka sera zako ziwafikie wapiga kura wako basi usisite kuwasiliana na
Watendaji wa mtandao huu utatangaziwa bila Ghalama kubwa,kumba mtandao huu
unasomwa na watu zaidi ya elfu saba kwa siku.
Basi
wasiliana kwa simu 0714 099486
Au 0654731457
No comments
Post a Comment