BREAKING NEWS-PIGO KUBWA TASNIA YA HABARI.MHARIRI WA GAZETI LA MAWIO AFARIKI DUNIA,SOMA HAPO KUJUA

HABARI
zilizotufikia mda huu zinasema Mahariri wa Gazeti la Mawio pamoja na Mtandao wa
Mwanahalisi.line Edson Kamukara (pichani) amefariki Dunia Gafla Nyumbani kwake Sinza
Wilaya Kinondoni Jijini Dr es Salaam.Anaandika KAROLI VINSENT endeleo nayo.
Kwa Mujibu
wa Taarifa iliotolewa na Katibu mkuu wa Jukwaa la Wahariri nchini Bwana Meena
zinasema Kifo cha Mhariri huyokimetokana na kuugua Gafla na akasisitiza taarifa
kamili itatolewa baadae.
Kamukara ambaye aliwai kuwa mhariri wa
Gazeti la Tanzania Daima Kabla ajahamia Mawio
Mtandao huu ulimtafuta Mmiliki wa Gazeti la
Mawio Saed Kubenea siimu yake haikuweza kupatikana,ili kupata habari zaidi.
ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU UTAPATA TAARIFA
ZAIDI
No comments
Post a Comment