Zinazobamba

DK MWAKYEMBE ASEMA HAYA KUHUSU MAJIBU YA LOWASSA NA RICHMOUND YAKE,SOMA HAPO KUJUA



Waziri wa africa mashariki Dk harson mwakiembe (pichani) ameshangaa sana ndugu edward 
lowassa kusema iliyokua kamati ya richmond ilimwonea na ililenga nafasi yake ya uwaziri mkuu pia kamati hiyo ilikua ni yangu na samwel sitta jamani. Lowassa aache kuchekesha watanzanua kama anaona hakutendewa haki nasubiri jumamosi arusha aseme kama alivyosema jana na mimi nitasema ukweli na yale yoote ambayo sikuyasema kulinda heshima yake na familia yake ukweli nitauweka mezani watanzania ndio watajua mh lowassa hafai kwa kile anachokisema namsubiri wapendwa tutasikia nwngi sana mwaka huu"

Hakuna maoni