NEEMA YAWAAJIA WAKAZI WA KIJICHI,SOMA HAPA KUJUA
ZAIDI ya
shilingi Bilioni 2 zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya Ujenzi wa barabara na zahanati zilizopo Kata ya Kijichi zilizopo
Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Hayo
yamesemwa leo na Diwani wa kata hiyo Mheshimiwa Andisoni Challe wakati
akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa
wameanza ujenzi wa Zahanati ndani ya Kata hiyo ambao utakuwa na uwezo kuwalaza
Wagonjwa wenye Jinsia tofauti na kutoka sehemu mbalimbali nchini.
Mbali na
Ujenzi wa Zahanati Mheshimiwa Chale
amesema kuwa waamenza Ujenzi wa barabara kutoka Kijichi hadi Tuangoma
Jijini Dar es Salaam ambapo itatumika kuwaunganisha wakazi wa eneo hilo,
No comments
Post a Comment